Ni rahisi zaidi kuunda picha za Taswira ya Mtaa. Iwe unataka kupiga picha na kushiriki popote ulipo au unapenda kutumia vidhibiti mahiri vya kuhariri ziara, una chaguo tele za bidhaa zenye uwezo wa kutumia Taswira ya Mtaa na sera bayana ya uchapishaji.
Google imefanya kazi na watengenezaji/wasanidi programu wafuatao ili kuwezesha shughuli za uchapishaji wa picha za Taswira ya Mtaa lakini haithibitishi shughuli zozote za kiutendaji au kiufundi*.
Ili kuunda Taswira yako ya Mtaa, chagua bidhaa inayoweza kutumika kwenye Taswira ya Mtaa.
Hakuna matokeo yoyote ya ulichotafuta.
*Ingawa wasanidi programu na watengenezaji hawa wametimiza masharti ya programu na vifaa vinavyoweza kutumika kwenye Taswira ya Mtaa, masuala yoyote mahususi ya kiufundi au ugavi yanapaswa kushughulikiwa moja kwa moja na mtoa huduma husika.
Ili upate sera zinazohusiana na picha za Taswira ya Mtaa zinazochangiwa na mtumiaji, tafadhali angalia Sera ya Maudhui Yanayochangiwa na Watumiaji kwenye Ramani.